Afanyeje ili aweze kumsahau mwanaume anayempenda na kuendelea na maisha yake?

Huyu muongo kabisa unasema unampenda alafu unataka ahudumie baba yako wakati wee sio mke wake!!! Wee inastahili uteseke tuu na i hope jamaa alikula mbususu yako
Redpill. Nakubali.
Kwanza unaanzaje kuhudumia mwanamke ambaye hajabeba jina lako kabisa?
 
Uo umri wako ni vizuri ukajifunza kati ya chase and attract , love and affection , value man and expensive man
 
Una kuja dar bila pesa acha visingizo sema tu una taka uliwe ila roho ina kuuma .na lazima uliwe tu utake usitake
 
Kumbe na nyie mkiwa rejected mnaumiaa

Anyway we somaa πŸ“–πŸ“–πŸ“–πŸ“šπŸ“š
 
Mimi ninayo ile ya hatari(kibatari chenye utambi wa sanda)!

Ukichomewa hiyo, hata kama upo Dar na mchumba yupo Kigoma, utakwenda bila kutaka.
 
H
amna mbinubzaidi ya kupata penzi jipya ... Japo penzi jipya sio guaranteed kwamba litadumu unaweza kuumizwa vilevile ...omba mungu akupe mtu sahihi
 
Ukweli ndio huo uduguu, tunajichelewesha sana kukumbatia watu ambao sio sahihi kwetu.!! Inatakiwa turuhusu hatma ifanye kazi yake.
Naishii na hii uduguuu!! [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mkubalie huyo kijana anae kutongoza hapo chuo nae unampotezea fanya kumkubalia, life will be more fun
 
Huyu muongo kabisa unasema unampenda alafu unataka ahudumie baba yako wakati wee sio mke wake!!! Wee inastahili uteseke tuu na i hope jamaa alikula mbususu yako
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ wanatuonaga mafala sana hawajui tushashtukia janja janja zao kwaiyo na sisi tunakaa kitaalamu
 
Kwa mujibu wa maelezo yake hiyo anayoilalamikia ndiyo ilikuwa aina yao ya mapenzi, so haiwezi kubadilika yenyewe hadi wao wahusika waamue kuibadilisha.

Mapenzi sio kuviziana, ila ni kuishi kwa kupeana mapenzi na kuelekezana. Kwa jinsi alivyokueleza wewe kwa uwazi, ndivyo alipaswa kumweleza mwenzi wake.

Yaani achukue ujumbe huuhuu na autume kwa huyo mpenzi wake, maana ni kurahisi kuboresha penzi kuliko kazi ngumu ya kumwacha anayempenda.

Ova
 
Ni shida na umasikini wako tu ndio unakuweka hapo. Wala hamna mapenz hapo.
Yeye hakupend na wewe wala sio kama unampenda. Akitokea mwenye pesa atakuzoa kirahis tu. Hauko mbal sana na kujiuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…