Afanyeje ili aweze kumsahau mwanaume anayempenda na kuendelea na maisha yake?

Acha umalaya, binti, ngonolization haitakusaidia kitu, haikupi ajira,haikupi GPA, kubwa, fanya, masomo kwanza, kuna wanaume Bora mara Mia ya huyo,wenye pesa,ukarimu, utu nk,
Kimbia zinaa mdogo wangu, kufika chuo,is nothing mziki ukitoka chuo, tafuta kijanq anayejielewa, m wenye shughuri ya kiuchumi mjini, fedha,huyo alitaka kukufunua tu, (I speak from experience, nimetenda wadada wengi kama wewe,) sasa nimeokoka,
First
 
Bitter truth: Hakuna mwanaume aliye busy kwa mtu ampendaye, the fact is you are not that important kwake!kwa maisha ya sasa huwezi kusema huyu mtu hashiki simu yake basi tu he is not that into you..Na akikupenda hakuonei uchungu.You are still young, may true love find you
 
Mkimjibu huyu
Namimi niulize nifanyeje nimpende mtu asiyenipenda maana mimi kubembeleza siwezi
 
Acha kulia, shida za dunia
Hebu tulia mungu anakujali pia
Acha kulia, shida za dunia
Hebu tulia mungu anakujali pia
 
Watu wanatafuta kupendwa we unatafuta kuachwa akili zipo wapiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…