lwambof07 JF-Expert Member Joined Jul 12, 2016 Posts 4,643 Reaction score 5,335 Jan 11, 2022 Thread starter #321 simplemind said: Wanajeshi wamehitimu shule? Click to expand... kuhitimu elimu gan unayozungumzia hapa
simplemind said: Wanajeshi wamehitimu shule? Click to expand... kuhitimu elimu gan unayozungumzia hapa
lwambof07 JF-Expert Member Joined Jul 12, 2016 Posts 4,643 Reaction score 5,335 Jan 11, 2022 Thread starter #322 kamjabari said: Nime umia sana kusikia Habari hii mbaya ,ya kikatili Click to expand... kwanza mtu wa umri huo ukimsukuma tu anaanguka ndo wakumfanyia hivyo
kamjabari said: Nime umia sana kusikia Habari hii mbaya ,ya kikatili Click to expand... kwanza mtu wa umri huo ukimsukuma tu anaanguka ndo wakumfanyia hivyo
kamjabari JF-Expert Member Joined Mar 20, 2017 Posts 1,144 Reaction score 1,668 Jan 11, 2022 #323 lwambof07 said: kwanza mtu wa umri huo ukimsukuma tu anaanguka ndo wakumfanyia hivyo Click to expand... Ni roho ya kimasikini ,japo hatufagilii wizi ,lakini asikali kutumia nguvu na adhabu kubwa mno!
lwambof07 said: kwanza mtu wa umri huo ukimsukuma tu anaanguka ndo wakumfanyia hivyo Click to expand... Ni roho ya kimasikini ,japo hatufagilii wizi ,lakini asikali kutumia nguvu na adhabu kubwa mno!
simplemind JF-Expert Member Joined Apr 10, 2009 Posts 16,418 Reaction score 9,209 Jan 11, 2022 #324 lwambof07 said: kuhitimu elimu gan unayozungumzia hapa Click to expand... Angalau a b c a e i o u 1 2 3
lwambof07 said: kuhitimu elimu gan unayozungumzia hapa Click to expand... Angalau a b c a e i o u 1 2 3
lwambof07 JF-Expert Member Joined Jul 12, 2016 Posts 4,643 Reaction score 5,335 Jan 11, 2022 Thread starter #325 simplemind said: Angalau a b c a e i o u 1 2 3 Click to expand... hiyo wanajua mbona
simplemind JF-Expert Member Joined Apr 10, 2009 Posts 16,418 Reaction score 9,209 Jan 11, 2022 #326 lwambof07 said: hiyo wanajua mbona Click to expand... Okay, wamehudhuria shule ila hawaja elimika.
lwambof07 JF-Expert Member Joined Jul 12, 2016 Posts 4,643 Reaction score 5,335 Jan 11, 2022 Thread starter #327 simplemind said: Okay, wamehudhuria shule ila hawaja elimika. Click to expand... hivyo ni vitu viwili tofauti unaweza kuta mtu amepata elimu ila haijamsaidia
simplemind said: Okay, wamehudhuria shule ila hawaja elimika. Click to expand... hivyo ni vitu viwili tofauti unaweza kuta mtu amepata elimu ila haijamsaidia