Trinity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2017
- 1,828
- 3,508
Raia wanawaheshimu sana hawa jamaa ila sema BAADHI yao hawajiheshimu na hawajitambui nahisi kwa sababu ya elimu ndogo.Usiniwekee maneno kinywani Kaka! Kwa Bahati mbaya hakuna aliyefanya uchunguzi kujua ukweli wa kilichosemwa! Lakini nasisitiza, Raia tuache dharau Kwa hawa jamaa, wanapitia Mambo magumu mno kuhakikisha Taifa liko salama!
Tutawatuma wabunge walizungumzie bungeni hili suala si kwa sababu ya huu uzi ila tumeona mengi saa nyingine mpaka askr polis wetu wanadharrishw na hawa wajing.