Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,828
Tatizo haujui jinsi ya kuwawajibisha huyo jamaa anakua mdogo sana kuna ngazi za kuripoti huko kambini kwao maana mwanajeshi hatakiwi kumuonea mwananchi kwenye miongozo yao na ukifanya hivyo kazi huna na adhabu juu sema wabongo hatujui kudai haki zetuUtawafanya nini sasa?!!! Omba usiingie anga zao!