Afariki baada ya kudaiwa kulishwa saruji na askari wa JWTZ

Kuna mjeshi mwaka juzi, alimuua kondakita, mbona amehukumiwa kifo!!siku hizi unafukuzwa kazi, then unakuwa raia kapambane na kesi yako huko!!
heshima itakuwepo sema kikubwa raia tu waelimishwe pale wanapofanyiwa vitendo visivyofaa kwenda kutoa taarifa polisi wasiogope gwanda
 
heshima itakuwepo sema kikubwa raia tu waelimishwe pale wanapofanyiwa vitendo visivyofaa kwenda kutoa taarifa polisi wasiogope gwanda
Ki ukweli siku hizi, mambo ya mitandao yamesaidia sana kuwaamusha/kuweka wazi upuuzi unaofanywa na wanajeshi!!na viongozi wao siku hizi hawataki upuuzi, na hata siku za karibuni wamewaambia hawataki kuona mwanajeshi anapokuwa kwenye gari anaendesha huku amevaa kiraia anaweka kofia/sare ya jeshi mbele ili anaposimamishwa kwa kuvunja sheria aweze kumtisha msimamizi wa sheria!!
 
Kwa hiyo we unatetea wezi wenzako
 
Mtaendelea kufa kwa kujichanganya wenyewe kwa wajeda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…