lwambof07
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 4,643
- 5,335
- Thread starter
- #121
ila hawa watu dah wana kuwaga na mbwembwe sana wanatumiaga sana hiyo ya kofiaKi ukweli siku hizi, mambo ya mitandao yamesaidia sana kuwaamusha/kuweka wazi upuuzi unaofanywa na wanajeshi!!na viongozi wao siku hizi hawataki upuuzi, na hata siku za karibuni wamewaambia hawataki kuona mwanajeshi anapokuwa kwenye gari anaendesha huku amevaa kiraia anaweka kofia/sare ya jeshi mbele ili anaposimamishwa kwa kuvunja sheria aweze kumtisha msimamizi wa sheria!!