Afariki baada ya kudaiwa kulishwa saruji na askari wa JWTZ

Afariki baada ya kudaiwa kulishwa saruji na askari wa JWTZ

Ki ukweli siku hizi, mambo ya mitandao yamesaidia sana kuwaamusha/kuweka wazi upuuzi unaofanywa na wanajeshi!!na viongozi wao siku hizi hawataki upuuzi, na hata siku za karibuni wamewaambia hawataki kuona mwanajeshi anapokuwa kwenye gari anaendesha huku amevaa kiraia anaweka kofia/sare ya jeshi mbele ili anaposimamishwa kwa kuvunja sheria aweze kumtisha msimamizi wa sheria!!
ila hawa watu dah wana kuwaga na mbwembwe sana wanatumiaga sana hiyo ya kofia
 
Hawa jamaa zetu wengi wao ni washamba sana wanapenda sana kuonea raia bila sababu za msingi,si waende Msumbiji hapo wakaoneshe huo ukomandoo wao!
 
Dah kumlisha binadamu mwenzi cement ili ikazibe mifumo ya taka na kukata kata viungo vya mwili....mafundi ujenzi tu wakiwa wanakoroga zege wanavaa zana za kuzuia cement kugusana na ngozi, sembuse kuikoroga na kunywa kama mtoriii ukiwaza nyama ziko chini?
hata unywe maziwa hayasaidii
 
Kinachowaudhi wanajeshi, ni vile wanateseka Kwa mazoezi usiku na mchana Kwa utayari kukulinda wewe muda wote na roho zao zikiwa mikononi, halafu wewe unayelindwa unawafanyia madharau! Hizo adhabu huwa ni tafsiri ya ujumbe jinsi gani huwafanya adui wa Taifa letu
Hawakulazimishwa kufanya hiyo kazi...

Kazi zote Zina changamoto...hutaki acha!

Upuuzi na ulimbukeni tu...
 
Yaani sijawahi hata nafasi ya kunifanya lolote,nakaa nao mbali,,,sipendi tu wanavyowatreat raia Kama wakoloni yaani.......utasikia Wananchi wakiongea kwa uoga kabisa mwanajeshi huyoo[emoji848]
utasema wananchi wapo uhamishoni vile
 
Nenda kajichanganye afu uone utakavyopewa kifiro na hao hao wasomi
Kwani wanaishi mwezini?si tunaishi nao , kwanza yeye kama hakuvaa sare, hadi uje ufahamu kuwa ni mwanajeshi, ni badaye sana, lakini hawa wa std 7, mikwala mingi!!mwaka jana pale buguruni hao wenzako, walikuwa wamelewa wamevaa ki raia wakakataa kulipa nauli, wakaleta vurugu wakavunja kioo cha tata cha nyuma!!na kumpiga kondakita wake!!gari ikapelekwa polisi pale buguruni, kilichowakuta , gharama waliyopigiwa kulipa, hawatasahau!!
Afisa ukimkosea atafuata tu utaratibu hawezi kufanya upuuzi ambayo badaye utamletea shida!!ubabe wa kishamba hawana.
 
Huu ni ushenzi na ushetani.
Hawa la saba na form four leaver wastaafishwe kwa lazima.
Miaka hii bado mtu anatumia nguvu kutatua matatizo
We na degree yako mbona nchi yako umeshindwa hata kuiundia hata sindano ama drip za wagonjwa.

Mnajiona wasomi kwa elimu ipi...??? Hii hii ya bongo ambayo jitu lina maliza tuu degree kwa kugawa nyuchi men kupigwa mpunga.
Mboga sana we

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom