Afariki baada ya kudaiwa kulishwa saruji na askari wa JWTZ

Afariki baada ya kudaiwa kulishwa saruji na askari wa JWTZ

heshima itakuwepo sema kikubwa raia tu waelimishwe pale wanapofanyiwa vitendo visivyofaa kwenda kutoa taarifa polisi wasiogope gwanda
Ki ukweli siku hizi, mambo ya mitandao yamesaidia sana kuwaamusha/kuweka wazi upuuzi unaofanywa na wanajeshi!!na viongozi wao siku hizi hawataki upuuzi, na hata siku za karibuni wamewaambia hawataki kuona mwanajeshi anapokuwa kwenye gari anaendesha huku amevaa kiraia anaweka kofia/sare ya jeshi mbele ili anaposimamishwa kwa kuvunja sheria aweze kumtisha msimamizi wa sheria!!
 
tusiwafundishe tu ukakamavu na mbinu za kivita hawa wanajeshi wetu huko makambini...

Wanapaswa pia kufundishwa namna ya kuishi na raia huku uraiani...
Sheria zetu zipewe meno makali dhidi ya watu hawa wanapofanya uonevi kwa raia..
Jeshi letu la polisi lipewe meno kwa kushirikiana na MPs yanapotokea mambo kama haya..

Ni hatari sana kuwa na askari wasio na nidhamu kama huyu mpumbavu..
Kwa hiyo we unatetea wezi wenzako
 
Huyo askari apigwe mvua za kutosha ili iwe mfano kwa wengine.haya ni mauaji ya kukusudia kabisa yaan unamfata MTU nyumbani kwakwe kuanza kujichukulia sheria mkononi.

Hakuna alie juu ya sheria sheria ichukue mkondo wake.

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
Mtaendelea kufa kwa kujichanganya wenyewe kwa wajeda
 
Back
Top Bottom