ila hawa watu dah wana kuwaga na mbwembwe sana wanatumiaga sana hiyo ya kofiaKi ukweli siku hizi, mambo ya mitandao yamesaidia sana kuwaamusha/kuweka wazi upuuzi unaofanywa na wanajeshi!!na viongozi wao siku hizi hawataki upuuzi, na hata siku za karibuni wamewaambia hawataki kuona mwanajeshi anapokuwa kwenye gari anaendesha huku amevaa kiraia anaweka kofia/sare ya jeshi mbele ili anaposimamishwa kwa kuvunja sheria aweze kumtisha msimamizi wa sheria!!
Joannah tafadhali mama hata mimi?Sijui kwa nini siwapendi Hawa viumbe,,yaani hata mwanaume akiwa handsome, educated,mstaarabu au ana mafanikio kiasi gani sitaki kabisa mazoeo nao....sijui huwa wanajionaga Nani yaani
Nimefanyakazi Unguja na Pemba hamna majitu maoga kama ma Zanzibar ila mdomoni kelele wanaume wakiingizia raia wote wanaingia uvunguniKwaio bara nzima wakurya tu ndo wagumu nyie mlobaki ndo mnaonewa?
Hawakulazimishwa kufanya hiyo kazi...Kinachowaudhi wanajeshi, ni vile wanateseka Kwa mazoezi usiku na mchana Kwa utayari kukulinda wewe muda wote na roho zao zikiwa mikononi, halafu wewe unayelindwa unawafanyia madharau! Hizo adhabu huwa ni tafsiri ya ujumbe jinsi gani huwafanya adui wa Taifa letu
Nenda kajichanganye afu uone utakavyopewa kifiro na hao hao wasomiWale wanajitambua, huwezi kumkuta mwenye cheo kuanzia nyota moja, anafanya ujinga huo hata siku moja!!
Endelea kujificha nyuma ya keyboard hivyo hivyo! Ukijichanganya tu...IMO! Na huna kitu utafanyaHawakulazimishwa kufanya hiyo kazi...
Kazi zote Zina changamoto...hutaki acha!
Upuuzi na ulimbukeni tu...
Unawaza vyeo tuhawanaga hizi mambo kwanza wenye elimu wengi wakienda kule vyeo fastaaa
Joannah walikufanya nini hawa jamaa kwan
utasema wananchi wapo uhamishoni vileYaani sijawahi hata nafasi ya kunifanya lolote,nakaa nao mbali,,,sipendi tu wanavyowatreat raia Kama wakoloni yaani.......utasikia Wananchi wakiongea kwa uoga kabisa mwanajeshi huyoo[emoji848]
Ni ukosefu wa maadili na utu, hawako juu ya sheria hawa.Wanajeshi tunawachekea sana. Kuna watu unakuta wanakaa wanasifia hivi vitendo vyao vya kishenzi.
Umeambiwa amekutwa kilabuni, suala la kusingiziwa Tz ni kawaida, huwezi kumhukumu mtu kwa tuhuma.Kwanini aliiba kuku?
Kwani wanaishi mwezini?si tunaishi nao , kwanza yeye kama hakuvaa sare, hadi uje ufahamu kuwa ni mwanajeshi, ni badaye sana, lakini hawa wa std 7, mikwala mingi!!mwaka jana pale buguruni hao wenzako, walikuwa wamelewa wamevaa ki raia wakakataa kulipa nauli, wakaleta vurugu wakavunja kioo cha tata cha nyuma!!na kumpiga kondakita wake!!gari ikapelekwa polisi pale buguruni, kilichowakuta , gharama waliyopigiwa kulipa, hawatasahau!!Nenda kajichanganye afu uone utakavyopewa kifiro na hao hao wasomi
We na degree yako mbona nchi yako umeshindwa hata kuiundia hata sindano ama drip za wagonjwa.Huu ni ushenzi na ushetani.
Hawa la saba na form four leaver wastaafishwe kwa lazima.
Miaka hii bado mtu anatumia nguvu kutatua matatizo