Afariki baada ya kudaiwa kulishwa saruji na askari wa JWTZ

Afariki baada ya kudaiwa kulishwa saruji na askari wa JWTZ

Hii kitu ilikuwepo sana maeneo ya Ununio na kunduchi mbona vibaka waliacha udokozi au wanakuchekecha halafu wanakuachia.
 
wa bara tofaut na huku itakuwa karibu bara halafu Jichanganye pale Makongo ndo utajua hujui
Mwanajeshi yeyote anafundishwa nidhamu na wala hafundishwi uhuni na pia hana mamlaka ya kumpiga raia, ukipigwa na mwanajeshi fika polisi kafungue kesi hata kama hatafukuzwa kazi lakin ataonywa na hata fidia utalipwa na hiyo itakua funzo kwake, na ukiamua kutokumsamehe na kukomaa nae kisheria lazima awe katika wakati mgumu

Raia wengi tunaonewa kwa kutokujua haki zetu siku tukijitambua hakuna mwenye mamlaka ya kushambulia kivyovyote vile ndo maana Kuna mahakama.
 
Mwanajeshi yeyote anafundushwa nidhamu na wala hafundishwi uhuni na pia hana mamlaka ya kumpiga raia, ukipigwa na mwanajeshi fika polisi kafungue kesi hata kama hatafukuzwa kazi lakin ataonywa na hata fidia utalipwa na hiyo itakua funzo kwake
hii kitu wananchi wengi hawajui na kila siku wanaonewa huko mtaani
 
[emoji1787][emoji1787]yan hawa jamaa dah sijui hii kitu itaisha lini yan unaweza ukawa huna kosa kabisa ila sasa ukipita hapo kambini kwao utakutwa na kosa tu kama traffic vile akikusimamisha hakosi kosa hata kwenye zile kambi zao za makazi mfano ile ya Kigambon kule nilienda kumchek jamaa yangu yaan bila ya yeye kutokea washaanza kunigeuza nyama
Pole chief [emoji3]

Navy right?

Vipi hukubeba kitambulisho? ulikua hujui unapoenda chief? Au ulifika mpaka getini halafu mwenyeji akawa hapokei simu?
 
Huyo askari apigwe mvua za kutosha ili iwe mfano kwa wengine.haya ni mauaji ya kukusudia kabisa yaan unamfata MTU nyumbani kwakwe kuanza kujichukulia sheria mkononi.

Hakuna alie juu ya sheria sheria ichukue mkondo wake.

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
mtaani watu wanaonewa sana na hawa jamaa na hii yote kwa sababu tu na ndio ukweli wabongo wengi hawajui haki zao kabisaaa
 
Ila kiukweli sisi watanzania ni waoga sana, mimi nilipokua mdgo na watoto wenzangu mimi niliponea chupu chupu kipigo, wenzangu walipgwa vibaya sana alaf tulikua watoto tu kisa tumekata vimti vile vya magoli tena viwili dah

Yaani unakuta et mwanajeshi mmoja tu anamzingua mtu kwasababu ya kawaida watu wote tuna angalia hata kumsaidia hatuwezi, kuna jamaa boda boda mabibo sokon ilikua bahati mbaya tu alimchomekea mjeshi mmoja alikua na gari, et yule mjeshi akamshika jamaa akaenda kununua maji kama 5 makubwa akaanza kumwagia akiwa na nguo mbele za watu!!! Kiukweli wamezidi sasa
 
Pole chief [emoji3]

Navy right?

Vipi hukubeba kitambulisho? ulikua hujui unapoenda chief? Au ulifika mpaka getini halafu mwenyeji akawa hapokei simu?
Ahsante
Sikuwa na kitambulisho halafu jamaa nampigia simu ananiambia nakuja sasa nikiwa sina uelekeo si ndo wakaja vipi wewe nikawaambia shida yangu nimekuja kuonana na jamaa fulan sasa jina ninalolijua mimi ni tofaut na analojulikana pale kambini kwao tulivutana sana kwa bahat nzuri jamaa akatokea akasema nipo naye huyo mwachien tu apite nikamwambia aisee cku nyingine tunaongozana mambo ya kukalishwa kitako hapa mimi sitaki halafu sasa wale jamaa walinikosea lakini hawakuniomba msamaha hata wa kinafiki aisee hivi mwanajeshi hamuombi msamaha raia au wale majeuri tu
 
Ila kiukweli sisi watanzania ni waoga sana, mimi nilipokua mdgo na watoto wenzangu mimi niliponea chupu chupu kipigo, wenzangu walipgwa vibaya sana alaf tulikua watoto tu kisa tumekata vimti vile vya magoli tena viwili dah

Yaani unakuta et mwanajeshi mmoja tu anamzingua mtu kwasababu ya kawaida watu wote tuna angalia hata kumsaidia hatuwezi, kuna jamaa boda boda mabibo sokon ilikua bahati mbaya tu alimchomekea mjeshi mmoja alikua na gari, et yule mjeshi akamshika jamaa akaenda kununua maji kama 5 makubwa akaanza kumwagia akiwa na nguo mbele za watu!!! Kiukweli wamezidi sasa
yaan kifupi mtz atakuangalia hivi unakufa mjeda anafanya vile anavyotaka yeye na anaweza kuwa peke yake raia hata 20 raia akijitahid sana atachukua video
 
Ahsante
Sikuwa na kitambulisho halafu jamaa nampigia simu ananiambia nakuja sasa nikiwa sina uelekeo si ndo wakaja vipi wewe nikawaambia shida yangu nimekuja kuonana na jamaa fulan sasa jina ninalolijua mimi ni tofaut na analojulikana pale kambini kwao tulivutana sana kwa bahat nzuri jamaa akatokea akasema nipo naye huyo mwachien tu apite nikamwambia aisee cku nyingine tunaongozana mambo ya kukalishwa kitako hapa mimi sitaki halafu sasa wale jamaa walinikosea lakini hawakuniomba msamaha hata wa kinafiki aisee hivi mwanajeshi hamuombi msamaha raia au wale majeuri tu
Pole bwana.

Uonevu/ unyanyasaji wa raia sio mzuri.

Lakini kwa hapo chief mwenyeji wako ndo mwenye makosa, lile ni eneo la makazi na mafunzo ya kijeshi lazima uulizwe unaenda kwa nani ? ni nani yako? wewe ni nani?, ndiyo taratibu.

Alipaswa akupange mapema .
 
Nishapoa mzee
alikosea jamaa m nikamwambia siku nyingine hapa kama kuja tunaongozana aisee bila hvyo siji kaeni wenyewe kambini kwenu
 
Back
Top Bottom