Afariki baada ya kudaiwa kunywa "Smart gin" nne

Afariki baada ya kudaiwa kunywa "Smart gin" nne

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Ni Jamaa yetu wa kata ya rahaleo alifunga siku zote leo asubuhi sana hata kuswali hajaenda akaamua kufungulia kazi na pombe kali aina ya smart gin(kisungura) akapiga mbeta kama vile anakunywa soda lengo asipate hasara ghafla bin vu kakata moto.
 
ENyi wana wa adamu nani kawalogaaaa?
Yan unajizuia kutenda dhambi mwezi mmoja then mingine umeihalalosha kama miezi ya kutenda dhambi.

Saaa umelipiwa kwa matwndo yako. Mungu ndo ndo mtoa hukumu na akuhukumu kwa haki yake. Japo awe na huruna nawe
 
Back
Top Bottom