Afariki baada ya kudaiwa kunywa "Smart gin" nne

Afariki baada ya kudaiwa kunywa "Smart gin" nne

Ni Jamaa yetu wa kata ya rahaleo alifunga siku zote leo asubuhi sana hata kuswali hajaenda akaamua kufungulia kazi na pombe kali aina ya smart gin(kisungura) akapiga mbeta kama vile anakunywa soda lengo asipate hasara ghafla bin vu kakata moto.
ndio shida ya imani zinazofanya watu wafunge mwezi fulani tu, mwezi huo tu ndio unakuwa sio wa kutenda dhambi. miezi mingine, ruksa, si kuna mwezi spesheni wa kujitakasa? ndio maana kuanzia leo, mabaa mengi yatajaa, maeneo ya kitimoto yatakuwa na wateja wengi ajabu. haujajiuliza kwanini baa zilikuwa kimya sana? kuanzia leo hata barabarani nendeni kwa umakini, watu wamelewa mno kwasababu walikuwa wamefungwa, sasa wamefunguliwa.

Imani ya kweli sio hiyo. ni ile inayohubiri kwamba Mungu anaangalia moyo, ukiwa peke yako jua kuwa Mungu anakuona, unapozini jua anakuona na anakushangaa, unapoiba, unapodhulumu, kunapofuga majini na misukule jua anakuona. Mwogopeni Mungu, na wala msiogope wanadamu auwaye mwili tu, ogopeni Mungu mwenye uwezo kuua mwili na roho moto wa milele. ukijua hili, kutaokoka kwa kumwamini Yesu, na wewe binafsi utakuwa mlinnzi wa kwako binafsi,

Yusufu alisema kabisa nimtendeje Mungu dhambi kubwa namna hii? hapo alikuwa sirini angeweza kuzini na mke wa potifa bila mtu yeyote kujua, opportunity hiyo alikuwa nayo, na wala asingejulikana kabisa, ILA ALIJUA MOYONI MWAKE MUNGU ANAMUONA, akasema nimtendeje Mungu dhambi kubwa namna hii? wengi huwa wanajificha kwa wanadamu wanaenda magesti ya kificho kuzini, au wanafanya dhambi za kificho, Mungu anawaona. jifunzeni kwa Yusufu.
 
Ni Jamaa yetu wa kata ya rahaleo alifunga siku zote leo asubuhi sana hata kuswali hajaenda akaamua kufungulia kazi na pombe kali aina ya smart gin(kisungura) akapiga mbeta kama vile anakunywa soda lengo asipate hasara ghafla bin vu kakata moto.
Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un
 
Ni Jamaa yetu wa kata ya rahaleo alifunga siku zote leo asubuhi sana hata kuswali hajaenda akaamua kufungulia kazi na pombe kali aina ya smart gin(kisungura) akapiga mbeta kama vile anakunywa soda lengo asipate hasara ghafla bin vu kakata moto.
Hana jina?
 
Back
Top Bottom