Afariki baada ya kudaiwa kunywa "Smart gin" nne

Unajizuia kutenda dhambi for 30days, baada tu ya kumaliza kujizuia unalianzisha kwa speed ya mwanga.

Kuna wakati tuwe critical na hizi dini, fanya linaloufurahisha moyo, usijiumize nafsi kisa imani uliyoikuta.

Kuna wana baada ya kwaresma ni kula pombe, kuwekana bila kukoma. Anyway, kila mtu aishi anavyoona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…