Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Mama yupo busy kwenye vijiwe feki vya kahawa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HatariiiDuuh.
One man down
We unaona taarifa imekamilika hii?Mtu mmoja amefariki dunia akiwa kwenye harakati za kugombea daladala alasiri hii ya leo.
Tayari polisi wamefika na jitihada zinafanyika za kuuupeleka mwili wa marehemu Mwananyamala Hospitali kwa uhifadhi na uchunguzi zaidi.
Marehemu hakuwa na kitu chochote cha kumtambulisha