MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
Aisee nikikumbuka naingiwa na huruma sana.Sishangai sana, siku hizi kama limekuwa jambo la kawaida. So sad.
Lucky Dube - Little heroes
Saint Anne kwani unae watoto wangapi?Aiseee!
Haya mambo yanahuzunisha.
Binti ukipata mimba ni heri uvumilie uzae tu
Kutoa mimba ni kuweka rehani maisha.
Huyo dogo anaenda kuzimu kwa Kosa gan hasa.?Dogo kagoma kwenda kuzimu pekeyake kamwambia maza huko tunakwenda wote huniachi
WatatuSaint Anne kwani unae watoto wangapi?
Jesus I thought huna ujue.Watatu
Nilishuhudia mgonjwa aliyetoa mimba alitapatapa hospital na kusali Sala zote.
Inategemea,Kuna makabila ukoo Ni kwa mama,na Kuna makabila ukoo Ni kwa baba.....Mama yako si Ukoo wako.
UKOO ni zao lako na alipozaliwa Baba yako
Watoto wa shangazi hawana ukoo na wewe
Hii ni nani anapangaInategemea kama ukoo;
1. matrilineal (matriliny) - mtoto ni wa ukoo wa mama, hata jina la ukoo linatoka kwa mama
2. Patrinear (patriliny) - mtoto ni wa ukoo wa baba, hata jina la ukoo linatoka kwa baba
Nafahamu hilo mkuu, yaani hawa wasichana mnaoita pisi kali amini nakwambia 80% wamewahi fanya abortion.Aisee nikikumbuka naingiwa na huruma sana.
Chuo mimba za miezi miwili kushuka zinatolewa tu magetoni zinaflashiwa chooni.
60% ya wadada chuo wanatoa mimba 10% tu ndo wanazaa. Percentage iliyobaki ndo wako makini na unplanned pregnancy plus kufocus na kilichowapeleka chuo.
Wicked generation [emoji717]Nafahamu hilo mkuu, yaani hawa wasichana mnaoita pisi kali amini nakwambia 80% wamewahi fanya abortion.
Very sad, Pole sana bro. Kazi ya shetani imejaa makosa mengi.Imenibidi nisubiri tuzike kwanza ili machungu yaishe, Kisha nilete Uzi hapa.
Ni ndugu yangu, ki ukoo yeye ni dada yangu, lakini upande wa mama huko. Mimi niliambiwa tu huyu ni dada yako na sikutaka kujua zaidi maana ishu za ukoo zinanichanganya sana.
Tumeonana December mwishoni tulipoenda kusalimia nyumbani Tukuyu.
Haijapita hata wiki toka tumeondoka kijijini tunapigiwa simu yule dogo amefariki dunia huku chanzo ikidaiwa ni kujaribu kutoa ujauzito Kwa dawa za mitishamba zilizompelekea kutoka damu nyingi mpaka mauti yalipomkuta.
Inaelezwa kwamba alikua alihofia kufukuzwa shule alikua anaingia kidato Cha tatu januari hii.
Pia alihofia ukali wa wazazi wake kwani wangeweza mfukuza nyumbani😓
So sad, miaka 17 tumeshampoteza
Mtuhumiwa anajipeleka Kwa hakimu Akiwa na mshitaki...Dogo kagoma kwenda kuzimu pekeyake kamwambia maza huko tunakwenda wote huniachi
Hawa alipaswa awale yeye😛Mama yako si Ukoo wako.
UKOO ni zao lako na alipozaliwa Baba yako
Watoto wa shangazi hawana ukoo na wewe
Kutoa mimba Ni hatari Sana...