Afariki dunia akijaribu kutoa ujauzito

Afariki dunia akijaribu kutoa ujauzito

Sishangai sana, siku hizi kama limekuwa jambo la kawaida. So sad.

Lucky Dube - Little heroes
Aisee nikikumbuka naingiwa na huruma sana.
Chuo mimba za miezi miwili kushuka zinatolewa tu magetoni zinaflashiwa chooni.

60% ya wadada chuo wanatoa mimba 10% tu ndo wanazaa. Percentage iliyobaki ndo wako makini na unplanned pregnancy plus kufocus na kilichowapeleka chuo.
 
Mama yako si Ukoo wako.

UKOO ni zao lako na alipozaliwa Baba yako
Watoto wa shangazi hawana ukoo na wewe
Inategemea,Kuna makabila ukoo Ni kwa mama,na Kuna makabila ukoo Ni kwa baba.....
 
Inategemea kama ukoo;
1. matrilineal (matriliny) - mtoto ni wa ukoo wa mama, hata jina la ukoo linatoka kwa mama
2. Patrinear (patriliny) - mtoto ni wa ukoo wa baba, hata jina la ukoo linatoka kwa baba
Hii ni nani anapanga
 
Aisee nikikumbuka naingiwa na huruma sana.
Chuo mimba za miezi miwili kushuka zinatolewa tu magetoni zinaflashiwa chooni.

60% ya wadada chuo wanatoa mimba 10% tu ndo wanazaa. Percentage iliyobaki ndo wako makini na unplanned pregnancy plus kufocus na kilichowapeleka chuo.
Nafahamu hilo mkuu, yaani hawa wasichana mnaoita pisi kali amini nakwambia 80% wamewahi fanya abortion.
 
Imenibidi nisubiri tuzike kwanza ili machungu yaishe, Kisha nilete Uzi hapa.

Ni ndugu yangu, ki ukoo yeye ni dada yangu, lakini upande wa mama huko. Mimi niliambiwa tu huyu ni dada yako na sikutaka kujua zaidi maana ishu za ukoo zinanichanganya sana.

Tumeonana December mwishoni tulipoenda kusalimia nyumbani Tukuyu.

Haijapita hata wiki toka tumeondoka kijijini tunapigiwa simu yule dogo amefariki dunia huku chanzo ikidaiwa ni kujaribu kutoa ujauzito Kwa dawa za mitishamba zilizompelekea kutoka damu nyingi mpaka mauti yalipomkuta.
Inaelezwa kwamba alikua alihofia kufukuzwa shule alikua anaingia kidato Cha tatu januari hii.
Pia alihofia ukali wa wazazi wake kwani wangeweza mfukuza nyumbani😓

So sad, miaka 17 tumeshampoteza
Very sad, Pole sana bro. Kazi ya shetani imejaa makosa mengi.
 
Mama yako si Ukoo wako.

UKOO ni zao lako na alipozaliwa Baba yako
Watoto wa shangazi hawana ukoo na wewe
Hawa alipaswa awale yeye😛

Bwana Santos kula hao ndugu ya mama yako SI ukoo wako huo.
 
Back
Top Bottom