Afariki dunia akijaribu kutoa ujauzito


Bora wawekee njiti tu maana wanafanya siri hamjui
 
Hivi njiti hazina shida dina?

Sijawah weka wala kuchoma sindano za uzazi
Nasikia wengine hazina shida ,wengine huwaletea shida sasa wanafunzi bora wawekewe tu wanaenda kwa viboyfriend kimya kimyaaa [emoji23][emoji23]
 
Lol ni kweli kbs
 
Kuna yo dada angu wa ma mdogo yeye anajifanyaga mshauri kwa watu kutoa
Yaani Bora kuzaa Ila kutoa ni risk Sana maana Kuna madaktari wanafanyiwa majaribio miili ya mabinti.
 
sio vizur kuwahukum mabint waobeba mimba kabla ya ndoa au wakiwa bado shulen.
Hata mwanaume alietembea nae amefanya kosa ila utashangaa lawama zinaishia kwa mtoto wa kike

Tusiwakatishe tamaa bado wanauwezo wakuzifikia ndoto zao hata baada ya kujifungua.

Mimi nikiwa chuo nilifundishwa na LECTURE aliebeba mimba akiwa bado shulen akakatsha masomo
Lakini baadae alirud shule akaendelea na masomo hadi kufikia hatua ya kuwa LECTURE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…