Afariki dunia akijaribu kutoa ujauzito

Afariki dunia akijaribu kutoa ujauzito

Pole sana mkuu.
Niliwah kufanya kazi sehem moja ndani ndani, wamama wengi mabinti zao walipokua wakichaguliwa tu kwenda sekondari wanakuja hospital wanakwambia muekee njiti mbili zile znazofunga kuzaa for 5 yrS.

UKiuliza kwanin wanakwambia bora ukimwi kuliko mimba. Ni kitu kinaumiza sana lakn ndo tanzania yetu

Bora wawekee njiti tu maana wanafanya siri hamjui
 
Hivi njiti hazina shida dina?

Sijawah weka wala kuchoma sindano za uzazi
Nasikia wengine hazina shida ,wengine huwaletea shida sasa wanafunzi bora wawekewe tu wanaenda kwa viboyfriend kimya kimyaaa [emoji23][emoji23]
 
Aisee nikikumbuka naingiwa na huruma sana.
Chuo mimba za miezi miwili kushuka zinatolewa tu magetoni zinaflashiwa chooni.

60% ya wadada chuo wanatoa mimba 10% tu ndo wanazaa. Percentage iliyobaki ndo wako makini na unplanned pregnancy plus kufocus na kilichowapeleka chuo.
Lol ni kweli kbs
 
sio vizur kuwahukum mabint waobeba mimba kabla ya ndoa au wakiwa bado shulen.
Hata mwanaume alietembea nae amefanya kosa ila utashangaa lawama zinaishia kwa mtoto wa kike

Tusiwakatishe tamaa bado wanauwezo wakuzifikia ndoto zao hata baada ya kujifungua.

Mimi nikiwa chuo nilifundishwa na LECTURE aliebeba mimba akiwa bado shulen akakatsha masomo
Lakini baadae alirud shule akaendelea na masomo hadi kufikia hatua ya kuwa LECTURE
 
Back
Top Bottom