Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alkua kama abiria wa bolt naambiwaDaah binti mdogo sana miaka 23...kapata leseni majuzi tu ina week tatu huyu atakuwa bado lena.
Rip aziza.
R.i.p amepata ajali kivipi,naona leseni ya udereva alikua anaendesha chombo gani,naomba kufahamu member.Oops Apumzike Kwa Amani
Ufahamu nini acha umbeya mtoto wa kiume.R.i.p amepata ajali kivipi,naona leseni ya udereva alikua anaendesha chombo gani,naomba kufahamu member.
Kama amesoma mpaka chuo kikuu ni either mwaka huu au mwakani ndio anamaliza chuo.Nimeona kwenye group moja la Whatsapp kuwa ndugu zake wameshapatikana. Aliondoka tu asubuhi kwenda kwenye mishe zake kama wengine wengi walivyofanya lakini akaishia mochwari.
Ndo maisha yetu hayo sisi tuliozaliwa. Leo tupo; na kesho tushaenda zetu. Rest easy young lady 🙏🏿
Kwahiyo dereva kapona.Alkua kama abiria wa bolt naambiwa