Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Ilitosha kusema amepata ajali amefariki.. .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ile barabara ilivyokuwa na malori mengi madereva wake ni nusu wendawazimu lazima ajali ya huyu dada kuna lorry limehusika.Daah binti mdogo sana miaka 23...kapata leseni majuzi tu ina week tatu huyu atakuwa bado lena.
Rip aziza.
Kwa kweli kama mtu una uwezo wa kuzikwepa bodaboda na Bajaj,zikimbie kabisa panga ratiba zako vizuri wahi kuamka au hakikisha kila ahadi yako na mtu unaiweka ktk ratiba itakayokufanya usianze kukimbizana barabarani ili utumie public transport utakuwa salama.Kutoka Twitter (X)
Wanadai ameshatambuliwa
As reported..
Mwili(kichwa) kilikua kwenye hali mbaya sana (kimepasuka). Kwahiyo wamempumzisha immediately
Chanzo kimeeleza kua alikua boda boda
Nilijua tu,Buguruni hajafa mtu mara nyingi kama ajali haijahusisha loriAmefariki saa mbili asubuhi na amezikwa jioni hii. Masaa kama mawili yaliyopita ndiyo watu wametoka kuzika kwa sababu ya jinsi alivyopondeka kichwa.
Fuso lilimkanysga kichwani hapo buguruni.
R I P.
Leseni yake mpya kabisa masikiniHabari marehemu pichani amepata ajali buguruni na kupasuka kichwa ,mwili umepelekwa hospital ya Amana. Sambaza kadri unavyoweza ndugu zake wapatikane.
View attachment 3108665
إنا لله و إنا إليه راجعونHabari marehemu pichani amepata ajali buguruni na kupasuka kichwa ,mwili umepelekwa hospital ya Amana. Sambaza kadri unavyoweza ndugu zake wapatikane.
View attachment 3108665
Kuhusu madereva malori hao jamaa hawajali usalama wa bodaboda hata kidogo,Mimi nafanya nao sana kazi maana nipo katika mazingira ambayo nakutana nao Kila siku.Nilijua tu,Buguruni hajafa mtu mara nyingi kama ajali haijahusisha lori
Mandela Road kipande cha kutoka Tabata uelekeo wa Buguruni na Tazara kunakuwaga na madereva fulani vichaa wasiojali utu wa wenye usafiri mdogo kuwashinda
kuzikwepa bodaboda na Bajaj,zik
Mwanadamu u-mavumbi weeweMtoto mbichi na mrembo 'kweli kweli'. Ardhi inakula vizuri, R.I.P mrembo kabisa. Ninakuombea kwa Mungu Amina
Tatizo nchi ikishakuwa na viongozi wasiokuwa na vision hauwezi kukuta hizi marufuku zikitiliwa mkazo maana hawajui wabuni mbinu gani kuwatoa wahusika huko bila kutikisika kiuchumi.Ni wakati wa Tanzania kutoagiza tena bodaboda na bajaj ili tuepuke maafisa usafiri na abiria wao kupoteza viungo vya miili yao kuwa vilema huku wengine wakipoteza maisha.
Ni kweli madereva wa malori na daladala wanashida hiyo, ila kwa asilimia 90 bodaboda huwa wanakitafuta KIFO wenyewe.Kuhusu madereva malori hao jamaa hawajali usalama wa bodaboda hata kidogo,Mimi nafanya nao sana kazi maana nipo katika mazingira ambayo nakutana nao Kila siku.
Huwa wanasema wakiwa barabarani hawaoni bodaboda,wanafagia na kupita kama wanakatiza sehemu isiyo na roho za watu. Ukiingia vibaya kwenye tajiri au trailer utajua mwenyewe na hawasimami,wanaona kama kaingia kuku tu chini ya lori.
Mfano hapa kwenye U turn ya bandarini wanavtofanya unagundua jamaa hawathamini roho za bodaboda Wala abiria wake. Umojifanya una haraka ya kuvuka na yeye anakuja hadungi breki Wala kupiga honi. Analeta gari spidi 120 bila kusimama.
Ukipands boda kama unatoka au unaenda ubungo,mkifika buguruni hasa jioni na asubuhi kwenye gombania goli mshike bega boda kisha mwambie tuliza wenge,vinginevyo mtakufa,malori ni noma ile kitaa.
wiki tatu zilizopita tumemzika mfanyakazi mwenzetu ambae alikuwa na pikipiki yake ya kutembelea. Alipitiwa na Lori hapo buguruni na pumzi yake ikakoma hapo.
BUGURUNI+ UHASIBU= DEATH GATE.
Pole sanaaDah aziza mdogo wangu huyu masikin alianza upambanaji kitambo kidogo alianzia kwenye ukondakta wa daladala mpaka kufikia udereva boda maskini tumezika leo hii hii
Hakika kwake tumeumbwa na kwake tutarejea ameniumiza kwa kweli maana nilikua naendesha niko bunju napokea habari za msiba Dah
Omba yasikukute
(mdogo wangu mtoto wa mwalimu wangu wa madrasa)
Uko sahihi. Hicho kipande cha Al Hamza ni balaa nakijua tangu miaka ya mwanzoni 90 kinachinja balaa.Nilijua tu,Buguruni hajafa mtu mara nyingi kama ajali haijahusisha lori
Mandela Road kipande cha kutoka Tabata uelekeo wa Buguruni na Tazara kunakuwaga na madereva fulani vichaa wasiojali utu wa wenye usafiri mdogo kuwashinda
Aliye mpa leseni abebe hizi dhambiHabari marehemu pichani amepata ajali buguruni na kupasuka kichwa ,mwili umepelekwa hospital ya Amana. Sambaza kadri unavyoweza ndugu zake wapatikane.
View attachment 3108665