Afariki kwa kupata ajali Buguruni Dar 27.9.2024, atakayemtambua awajuze ndugu zake

Afariki kwa kupata ajali Buguruni Dar 27.9.2024, atakayemtambua awajuze ndugu zake

Status
Not open for further replies.
Maisha ya Dar pesa mkononi,na kifo mkononi!

Maisha ya Dar, yako very rough!

Watu wanajali fedha kuliko uhai.

Maisha ya kula mihogo na mahindi ya kuchoma njiani, ukimezea na maji ya Azam.

Familia poleni sana.
 
Maisha ya Tanzania magumu sana.msichana mdogo kabisa kujiingiza kazi hatarishi za bodaboda ni dalili serikali imeshindwa kuwatengenezea mazingira mazuri watu wake.Ajira hakuna lakini rais Kila siku anagawa hovyo pesa za umma kulipa magoli ya mpira.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom