Afariki kwa kupata ajali Buguruni Dar 27.9.2024, atakayemtambua awajuze ndugu zake

Status
Not open for further replies.
Nimeona kwenye group moja la Whatsapp kuwa ndugu zake wameshapatikana. Aliondoka tu asubuhi kwenda kwenye mishe zake kama wengine wengi tulivyofanya lakini akaishia mochwari.

Ndo maisha yetu hayo sisi tuliozaliwa. Leo tupo; na kesho tushaenda zetu. Rest easy young lady πŸ™πŸΏ

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ (Updates)πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡





 
Kama amesoma mpaka chuo kikuu ni either mwaka huu au mwakani ndio anamaliza chuo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…