Afariki kwa kupata ajali Buguruni Dar 27.9.2024, atakayemtambua awajuze ndugu zake

Status
Not open for further replies.
Update nanukuu

"Asante huyu Binti amefahamika na ndugu zake wamepatikana. Anaitwa Aziza (Maokoto) Ni Bodaboda wa Mbagala Kichemchem. Alikuwa anatoka kupeleka Abiria ubungo wakati wa kurudi ndio amepata ajali. AMEZIKWA USIKU HUU.. kitokakana na kichwa kuharibika saana hawajataka kulaza."
 
Amefariki saa mbili asubuhi na amezikwa jioni hii. Masaa kama mawili yaliyopita ndiyo watu wametoka kuzika kwa sababu ya jinsi alivyopondeka kichwa.

Fuso lilimkanysga kichwani hapo buguruni.

R I P.
 
Duuh huyo binti alikuwa ni bodaboda khaaa kweli africa ni jehanamu
 
So marehemu alikuwa dereva boda

Mungu amrehemu na kumpinguzia adhabu ya Kaburi
 
Mtoto wa elfu 2 ni bodaboda..hii nchi ni jehanam [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Nachukia ufukara.
 
Inna lillahi wainna ilayhi rajiuun

Ila kusema ukweli w.ke haya mambo ya kutaka 50/50 achaneni nayo kabisaaa uyu mtoto ni wa kuolewa na kuwekwa ndani akisubiri huduma kwa mume

All in All sote njia yetu ni moja tuombe mwisho mwema
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…