Nimeona kwenye group moja la Whatsapp kuwa ndugu zake wameshapatikana. Aliondoka tu asubuhi kwenda kwenye mishe zake kama wengine wengi tulivyofanya lakini akaishia mochwari.
Ndo maisha yetu hayo sisi tuliozaliwa. Leo tupo; na kesho tushaenda zetu. Rest easy young lady ππΏ
Maisha ya Tanzania magumu sana.msichana mdogo kabisa kujiingiza kazi hatarishi za bodaboda ni dalili serikali imeshindwa kuwatengenezea mazingira mazuri watu wake.Ajira hakuna lakini rais Kila siku anagawa hovyo pesa za umma kulipa magoli ya mpira.