Afcon 2019: Tanzania yapangiwa kundi moja na Kenya Senegal na Algeria

Mkuu hawa miamba yaani mwarabu na Senegal wenye uzoefu wa michuano na wachezaji nyota kuna uwezekano wa suluhu? Au nikuulize si kuna matumaini ya kupata pointi angalau moja kwa mmoja wapo?
Bila kumung'uny'a maneno Tanzania hatuna uwezo wa kupata point hata moja mbele ya washindani wetu watarajiwa.

Algeria huyu tunamjua alishatupiga nyingi tujipange kupunguza idadi.

Senegal huyu anaweza kutufedhehesha na tusiwahi sahau kwa miaka 30 ijayo.
Kenya wanatuzidi fiziki wana nguvu kuliko sisi hatuna historia nzuri dhidi ya hawa wanaafrika mashariki wenzetu
 
Hili tutoboe hili kundi, NUSU BEI ianzie kesho mpk kufika June tuwe na uhakika wa kupita[emoji28]


Sent from my iPhone using JamiiForums
Leo mkuu wa mkoa wa dsm amekiri wazi anawahitaji Sana walevi kwenye kuhamasisha.
 
Kundi zuri, nilikuwa naogopa tu kuwa kundi moja na mwenyeji.....Kama tulikuwa tunataka Afcon hatuna budi kujipanga vizuri na Kocha kuchagua wachezaji sahihi
Kocha akichagua wachezaji sahihi na kupanga kikosi vizuri (sio kama ya kule Lesotho) na morali ya vijana ikiwa juu huenda tukatoa ushindani kwa hao miamba.
 
Ila mkuu upangaji wa kikosi, formation ya Amunike na wachezaji atakaochagua si huenda ikaamua hatima yetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…