Afcon 2019: Tanzania yapangiwa kundi moja na Kenya Senegal na Algeria

Afcon 2019: Tanzania yapangiwa kundi moja na Kenya Senegal na Algeria

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Leo jijini Cairo majira ya saa 3 kamili usiku kwa saa za Africa Mashariki kunafanyika upangaji wa Makundi 6 ya AFCON huku timu za mataifa 24 zikishiriki.
Makundi yatapagwa kutokana na Ports 4 zilizopo, Kila Port itatoa timu 1 kuzalisha kundi. Ports zimewekwa kulingana na viwanga vya FIFA na CAF.
Kila timu iliyopo Port 1 itaongoza Kila kundi ikifuatiwa na timu kutoka port 2 , port 3 na port 4.
Tanzania ipo katika Port 4 ikisubiri hata ya kundi lake Huku ikiombea isipangwe na Mwenyeji. AFCON inatarajiwa kuanza mwezi wa 6.

56957781_2113752492050996_8023907324575875072_n.jpeg
57184168_2112432668849645_2826441265086726144_n.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app

2019 African Cup of Nations Group A:

[emoji1093] Egypt
[emoji1078] DR Congo
[emoji1254] Uganda
[emoji1269] Zimbabwe


Group B

Nigeria [emoji1184]
Guinea [emoji1119]
Madagascar [emoji1155]
Burundi [emoji1060]


2019 African Cup of Nations Group C:

[emoji1211] Senegal
[emoji1026] Algeria
[emoji1139] Kenya
[emoji1241] Tanzania

2019 African Cup of Nations Group D:

[emoji1173] Morocco
[emoji1081] Ivory Coast
[emoji1221] South Africa
[emoji1176] Namibia

2019 African Cup of Nations Group E:

[emoji1249] Tunisia
[emoji1159] Mali
[emoji1163] Mauritania
[emoji1029] Angola

2019 African Cup of Nations Group F:

[emoji1062] Cameroon
[emoji1110] Ghana
[emoji1047] Benin
[emoji1120] Guinea-Bissau
 
Back
Top Bottom