Umechanganya mkuu.... Wale walikuwa ni Biashara United, ndo walishindwa kwenda LibyaWee sie timu ilishashinda first leg 2-0 eti kama taifa tukaashindwa kuisafirisha timu kwenda kumaliza second leg. Akili au matope
Ndio najua ni biashara. Jamaa sii anashangaa kwa nini ethiopia ina qualify na sie tumekaa kwa nyumba tunaangalia kwa chupa....ndio nimempa hiyo kuonyesha kuwa sie hatuna mipango maneno mengi tuuUmechanganya mkuu.... Wale walikuwa ni Biashara United, ndo walishindwa kwenda Libya
Sisi ni kichwa Cha mwenda Wazimu.Hivi si tulishindwaje Ethiopia wakafuzu!!!??
FT Senegal 1-0 Zimbabwe, dk 90+7' PSenegal vs Zimbabwe live now. Game ya mapema hiyo. Naona senegal wamepandisha bunduki zao kali. Mane, Balde, Idriss Guaye Kauyate nk.
Mkuu KaribuAhsante kwa taarifa...
Mkuu wenzetu wako mbali,Hongera kwao,Guinea zote tatu zinashiriki
Mkuu wenzetu wako mbali,
ningependa uendeleze na ule mtiririko wa kuonyeshe vikosi vya team za taifa na vilabu wanavyo chezea Ingekua safi sanaWote wamepigwa chini mkuu, tena huyo algeria hata makundi hakutoboaBado sijaona wa kuwazuia magiants hawa, (Algeria na Morocco) mmoja wao anaondoka na ndoo, mark my words
Kwa upande wangu nipo na Algeria, i love Algeria......naipa %100
Wote wamepigwa chini mkuu, tena huyo algeria hata makundi hakutoboa