AFCON 2021| Fixtures, venues, full schedule and kick-off times. Tournament - CAMERON

AFCON 2021| Fixtures, venues, full schedule and kick-off times. Tournament - CAMERON

Wee sie timu ilishashinda first leg 2-0 eti kama taifa tukaashindwa kuisafirisha timu kwenda kumaliza second leg. Akili au matope
Umechanganya mkuu.... Wale walikuwa ni Biashara United, ndo walishindwa kwenda Libya
 
Umechanganya mkuu.... Wale walikuwa ni Biashara United, ndo walishindwa kwenda Libya
Ndio najua ni biashara. Jamaa sii anashangaa kwa nini ethiopia ina qualify na sie tumekaa kwa nyumba tunaangalia kwa chupa....ndio nimempa hiyo kuonyesha kuwa sie hatuna mipango maneno mengi tuu
 
Wengine twasubiri kwa hamu wababe watupatie burudani Algeria, Morocco na egypt
 
Senegal vs Zimbabwe live now. Game ya mapema hiyo. Naona senegal wamepandisha bunduki zao kali. Mane, Balde, Idriss Guaye Kauyate nk.
 
Ivi Jamani P.O.Sakho hapati namba kikosi Cha Senegal ?!
😂😂😂😂😂😂
 
Tommorow Tuesday 11, January 2022

1600Hrs
Group E: Algeria vs Sierra Leone, (Japoma Stadium, Douala)
1900Hrs
Group D: Nigeria vs Egypt, (Roumde Adjia Stadium, Garoua)
2200Hrs
Group D: Sudan vs Guinea-Bissau, (Roumde Adjia Stadium, Garoua)

Stay tuned!
 
Bado sijaona wa kuwazuia magiants hawa, (Algeria na Morocco) mmoja wao anaondoka na ndoo, mark my words

Kwa upande wangu nipo na Algeria, i love Algeria......naipa %100
Wote wamepigwa chini mkuu, tena huyo algeria hata makundi hakutoboa
 
Back
Top Bottom