AFCON 2027 Dates Zimetoka! East Africa Bado Nyuma Kwa Maandalizi?

AFCON 2027 Dates Zimetoka! East Africa Bado Nyuma Kwa Maandalizi?

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
535
Reaction score
312
Wadau, sasa ni official! Africa Cup of Nations 2027 itachezwa June 19 hadi July 18, 2027. Hii ni big win kwa Kenya, Uganda na Tanzania kushirikiana ku-host!

Lakini swali kubwa ni: tuko ready kweli? Reports zinaonyesha stadiums kama Kasarani na Talanta bado hazijakamilika, na hata training facilities bado hazijaanza. Uganda na Tanzania pia wako nyuma kidogo kwa preparations.

Kwa mara ya kwanza teams zitakuwa 28 badala ya 24 pressure imeongezeka vibaya! Good news? Tournament iko June–July, so haitaharibu European leagues.

Sasa wadau, hii AFCON tutadeliver ama tutaabika mbele ya Africa

Source: Pulsesports.co.ke
 
Back
Top Bottom