Tetesi: AFCON 2027 huenda ikapelekwa South Africa

Tetesi: AFCON 2027 huenda ikapelekwa South Africa

Tukiwa tunapambana na Ripoti ya Jaji Chande. Huenda AFCON 2027 ikapelekwa Bondeni kutokanana.na maandalizi duni.
Hamna shida, wapeleke tu ali mradi watarudisha hela zetu tuluzolipa kwa ajili ya ku host mashindano AFCON
 
Lakini CAF wamekanusha uvumi huo. Hizi zinabakia ni tetesi tu za waipenda mafanikio ya nci zetu za Afrika Mashariki
Hizo habari zinakuzwa sana huko instagram na watu ambao hawajui chochote kuhusiana na maandalizi ya michuano ya afcon mwakani.

Wale jamaa wenye kusambaza habari negative wapo mbele katika kutamani michuano ihamishiwe South Africa.
 
CAF watarudi ku-assess maandalizi yenu ya kubeua. Mkizingua tena wanasepa na kijiji to South Africa.
 
Huyo kama sio Mange itakuwa vijana wa chadema
Sasa hapa Chadema inaingiaje kama ww siyo mwehu?

Je uwanja unaojengwa Arusha unafahamu uko kwenye hatua gani kwa sasa?
Je barabara za Arusha kuelekea uwanja ule unafahamu zipoje kwa sasa?
Je muda uliobaki utatosha kukamilisha kazi zote zilizobaki?

Sasa vitu kama hivyo watu wameviona wakawa na mashaka. Wewe ulivyo na akili finyu (kila wakati/jambo unafanya siasa uchwara) unakimbilia kuhusisha Chadema.
 
Back
Top Bottom