and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Haiwezi kupelekwa huko kuna fujoTukiwa tunapambana na Ripoti ya Jaji Chande. Huenda AFCON 2027 ikapelekwa Bondeni kutokanana.na maandalizi duni.
Hamna shida, wapeleke tu ali mradi watarudisha hela zetu tuluzolipa kwa ajili ya ku host mashindano AFCONTukiwa tunapambana na Ripoti ya Jaji Chande. Huenda AFCON 2027 ikapelekwa Bondeni kutokanana.na maandalizi duni.
Pesa hairudi mazee, ndo maana Kenya alikuwa wa mwisho kutuma ada, alishaustukia mchezoHamna shida, wapeleke tu ali mradi watarudisha hela zetu tuluzolipa kwa ajili ya ku host mashindano AFCON
Kwaiyo kenya hajatoa bado?Pesa hairudi mazee, ndo maana Kenya alikuwa wa mwisho kutuma ada, alishaustukia mchezo
Lakini CAF wamekanusha uvumi huo. Hizi zinabakia ni tetesi tu za wasiopenda mafanikio ya nci zetu za Afrika MasharikiPesa hairudi mazee, ndo maana Kenya alikuwa wa mwisho kutuma ada, alishaustukia mchezo
Hizo habari zinakuzwa sana huko instagram na watu ambao hawajui chochote kuhusiana na maandalizi ya michuano ya afcon mwakani.Lakini CAF wamekanusha uvumi huo. Hizi zinabakia ni tetesi tu za waipenda mafanikio ya nci zetu za Afrika Mashariki
CAF watarudi ku-assess maandalizi yenu ya kubeua. Mkizingua tena wanasepa na kijiji to South Africa.Hizo habari zinakuzwa sana huko instagram na watu ambao hawajui chochote kuhusiana na maandalizi ya michuano ya afcon mwakani.
Wale jamaa wenye kusambaza habari negative wapo mbele katika kutamani michuano ihamishiwe South Africa.
Sasa hapa Chadema inaingiaje kama ww siyo mwehu?Huyo kama sio Mange itakuwa vijana wa chadema