Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Bajeti nzima imeshaandaliwa muda huu maandalizi yanaendelea kukamilika, usiamini sana hizi media feki zinajaa habari zisizo na uhakika.CAF watarudi ku-assess maandalizi yenu ya kubeua. Mkizingua tena wanasepa na kijiji to South Africa.
Point of correction:2048 tunaandaa kombe la dunia
4048 world Cup itachezewa mwezini kila sayari italeta team 12.Point of correction:
Ni 4048 na si 2048
Wapeleke tu sisi tuna Miss world inatoshaTukiwa tunapambana na Ripoti ya Jaji Chande. Huenda AFCON 2027 ikapelekwa Bondeni kutokana na na maandalizi duni. Viwanja bado, hoteli duni, barabara hoi.
**Tujiandae kwenda bondeni.
Afcon itachezwa africa mashariki,iwe iwavyoTukiwa tunapambana na Ripoti ya Jaji Chande. Huenda AFCON 2027 ikapelekwa Bondeni kutokana na na maandalizi duni. Viwanja bado, hoteli duni, barabara hoi.
**Tujiandae kwenda bondeni.
Basi na mpira utakuwa katika mfumo wa softcopy.4048 world Cup itachezewa mwezini kila sayari italeta team 12.
Umewahi kukosea malipo ya serikali na pesa zako ukarudishiwa?Hamna shida, wapeleke tu ali mradi watarudisha hela zetu tuluzolipa kwa ajili ya ku host mashindano AFCON
Wanaitwa haters hao. Na kadiri Mama Samia anavyopiga hatua za kimaendeleo, ndivyo haters wanavyozidi kuongezeka. Jambo la kufurahisha ni kwamba wote wanaenda kushindwa vibaya!Hizo habari zinakuzwa sana huko instagram na watu ambao hawajui chochote kuhusiana na maandalizi ya michuano ya afcon mwakani.
Wale jamaa wenye kusambaza habari negative wapo mbele katika kutamani michuano ihamishiwe South Africa.
Chadema wamekula hela za uwanja wa Arusha.Huyo kama sio Mange itakuwa vijana wa chadema
Mafisadi wenyewe ndo wanahujumu fursa ya AfconKupoteza fursa za biashara hakumkomoi mwanasiasa kwa kiwango sawa na raia wa kawaida anapopoteza fursa. Ugeni wa Afcon ni fursa nzuri ya biashara.
Mwenye akili ya kibiashara anaelewa hivyo, wale waliosalimisha akili zao kwa siasa za majitaka hawawezi kufikiria faida za ugeni mkubwa kwa uchumi wa Tanzania.Kupoteza fursa za biashara hakumkomoi mwanasiasa kwa kiwango sawa na raia wa kawaida anapopoteza fursa. Ugeni wa Afcon ni fursa nzuri ya biashara.
Chadema ya Lissu au Mkojani?Chadema wamekula hela za uwanja wa Arusha.
View attachment 3580033
Shida tupu mkuu.Mafisadi wenyewe ndo wanahujumu fursa ya Afcon
Hao wahuni wamekula mabilion ya uwanja wa Arusha
Elimu ya biashara ni muhimu boss ila pia lazima tujitahidi vizazi vijavyo visiwachukie wanasiasa.Mwenye akili ya kibiashara anaelewa hivyo, wale waliosalimisha akili zao kwa siasa za majitaka hawawezi kufikiria faida za ugeni mkubwa kwa uchumi wa Tanzania.
Chuki zetu zinasababishwa na uelewa mdogo, kwanza tukuze uelewa binafsi ili media zenye lengo la kutulisha propaganda zisiweze kufanikiwa.Elimu ya biashara ni muhimu boss ila pia lazima tujitahidi vizazi vijavyo visiwachukie wanasiasa.
Ni kweli, ila huo ni upande wa kwanza wa shilingi, upande mwingine ni wanasiasa wenyewe kufanya mambo yanayosababisha jamii iwachukie.Chuki zetu zinasababishwa na uelewa mdogo, kwanza tukuze uelewa binafsi ili media zenye lengo la kutulisha propaganda zisiweze kufanikiwa.
Tatizo la sasa ni uchawa unaofanywa na wanahabari, jaribu kufikiria kwamba yupo mwandishi wa habari anamfuata waziri au mkuu wa taasisi aliyeapishwa na Rais halafu anamuomba ampe tshs 50,000 ili aweze kuandika makala za kumpamba!.
Mwandishi wa namna hiyo anapokosa kupewa pesa na huyo kiongozi anaweza kupewa na adui wa kiongozi huyo na atakachofanya ni kumharibia yule aliyekataa kumhonga, tuangalie hali za namna hiyo kwani wanasiasa wa baadae wanakuzwa katika mazingira ya upotoshaji mwingi wa taarifa na mara nyingi kwa makusudi.
kwani ni lini SAR kumepoa?Haiwezi kupelekwa huko kuna fujo
ufunguzi uganda, mechi kubwa kubwa kenya,fainal kenya, Tanzania katika final hizo itahusika na matches zipi?Afcon itachezwa africa mashariki,iwe iwavyo