Tetesi: AFCON 2027 huenda ikapelekwa South Africa

Na zile fujo bondeni itakuwaje? Bora wawape Morocco..
 
Tukiwa tunapambana na Ripoti ya Jaji Chande. Huenda AFCON 2027 ikapelekwa Bondeni kutokana na na maandalizi duni. Viwanja bado, hoteli duni, barabara hoi.

**Tujiandae kwenda bondeni.
Mtu kama wewe, baada ya mashindano kufanyika kwa ufanisi na kuisha hapa Tanzania unatakiwa UPOTEE milele ili iwe fundisho kwa wengine!
 
Wapeleke tu south maana bongo watatekwa watu so poa.
Tukiwa tunapambana na Ripoti ya Jaji Chande. Huenda AFCON 2027 ikapelekwa Bondeni kutokana na na maandalizi duni. Viwanja bado, hoteli duni, barabara hoi.

**Tujiandae kwenda bondeni.
E
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…