The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Du samia na Afcon wapi na wapi. Afcon ndo italeta umeme na kupunguza gharama za MaishaKuna watu wameamua kuishi maisha ya tabu sana duniani hapa kwakweli.
Go, Mama Samia Suluhu Hassan, Goooooo!!!
Kwa sisi dunia ya 3 uwanja wa kiolimpiki bado unatufaa ni multi purpose.Huwa sivutiwi na viwanja vya mpira wa miguu vyenye running tracks, vinawaweka mashabiki mbali na wachezaji
Amani haiwezi kutoweka Tanzania,sababu ni kwamba serikali iko imara,wakati vijana wanaotegemewa kuivunja hiyo amani ni waoga sanaItategemea na hali ya amani itakavyokuwa baada ya Uchaguzi wa 2025 , vinginevyo michuano hii yaweza kufanyika Uganda na Kenya Tu
Nilikuepo! Usisahau hili!Ujinga ni tafsiri Yako wewe mwenye wivu ila wivu unakutafuna maana jirani yake ni chuki lazima uone 🔥🔥
Mafanikio ya Samia atawapunguzia wengi sana maisha yenu
Kuwepo wewe sio shida ,kikupacho ki nguoni mwakoNilikuepo! Usisahau hili!
Kwa Tanzania Viwanja vilivyokubaliwa na CAF ni Mkapa Stadium na Azam Stadium. Tanzania wamepewa muda wa miaka 2 ili wakamilishe ujenzi wa Kiwanja cha Arusha na Kiwanja cha Dodoma. Vilevile Uwanja wa Amaan Zanzibar unafanyiwa ukarabati mkubwa.nawaza tu hiyo Afcon watachezea wapi Tanzania nzima kuna kiwanja kimoja, Kenya, Uganda viwanja hakuna chenye sifa!
Kuwepo wewe sio shida ,kikupacho ki nguoni mwako
View: https://twitter.com/mamanafanikisha/status/1707020380529885421?t=A4z8B1wp_XdDXmEJd4451Q&s=19
Kwenye msafara wa Mamba kenge Huwa hawakosekani
Miaka miwili ni michache sana kwa Tz ninayoifahamu.Kwa Tanzania Viwanja vilivyokubaliwa na CAF ni Mkapa Stadium na Azam Stadium. Tanzania wamepewa muda wa miaka 2 ili wakamilishe ujenzi wa Kiwanja cha Arusha na Kiwanja cha Dodoma. Vilevile Uwanja wa Amaan Zanzibar unafanyiwa ukarabati mkubwa.
Ni kweli Kiongozi. Ngoja tuone.Miaka miwili ni michache sana kwa Tz ninayoifahamu.