Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu ya vigagula, ina matunguri ya kila ainaHii timu inaonekana ushirikina ndo chanzo zaidi ....
Ajabu wachezaji karibu wote wanacheza Ulaya...nimeshangaa sana
Doh! Afadhali kichwa cha mwendawazimu.The FA pleaded to the Ministry to talk to Thomas Teye Partey because Partey has also threatened to quit or close his door for the national team. During the AFCON 2021, Partey reported to the technical team that one of the senior players has brought in his personal mallam/priest to the camp/hotel of the Black Stars and the player's mallam/priest comes to the player's room in every midnight and in every 1:00AM they(players) hears chanting words from the player's room. (very noisy) but no decision was taken by the technical team.
A Big Blow!
... Nadhani pia mataifa mengi kwa Sasa wamejitahidi kupiga hatua kwenye uwekezaji wa soka hivyo ushindani umeongezeka.Hii timu inaonekana ushirikina ndo chanzo zaidi....
Ajabu wachezaji karibu wote wanacheza Ulaya... Nimeshangaa sana
Ushirikina ndio sehemu ya maisha ya binadamu, yaani watu wanaami bila ushirikina mambo hayaendi, ila tatizo ni pale unapokutana na mwenye nguvu zaidi yako lazima ushindwe tu.Hii timu inaonekana ushirikina ndo chanzo zaidi....
Ajabu wachezaji karibu wote wanacheza Ulaya... Nimeshangaa sana
Kotei, Fraga,Lwanga ajali ya goti. Sijui nani atafuataSasa Mkuu unashangaa..
Hii Mambo ipo sana Kaenye Vilabu Vyetu mtu anapigwa Jujuu Anapata Injury Au Hapangwi,Mtu anashirikisana na Kocha Mzawa kupangwa via Jujus[emoji30]
NungununguKotei, Fraga,Lwanga ajali ya goti. Sijui nani atafuata
[emoji38][emoji38][emoji38]Hii timu inaonekana ushirikina ndo chanzo zaidi....
Ajabu wachezaji karibu wote wanacheza Ulaya... Nimeshangaa sana
Mkude anawaumiza sana wenzie mshenzi yuleKotei, Fraga,Lwanga ajali ya goti. Sijui nani atafuata