Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ikiwa leo ni nusu fainali ya Afcon kati ya Wenyeji Cameroon dhidi ya Misri, tayari fitna za Etoo na kundi lake zishaanza kazi kwa kufungiwa kwa kocha msaidizi wa Misri, kwa kinachodaiwa vurugu kwenye mechi ya robo fainali dhidi ya Morocco.
Swali langu ni hili: Je, wachezaji wa Misri nao watapewa ugonjwa wa Corona kama walivyopewa wachezaji wa Comoro?
Swali langu ni hili: Je, wachezaji wa Misri nao watapewa ugonjwa wa Corona kama walivyopewa wachezaji wa Comoro?