AFCON Nusu fainali - Misri vs Cameroon: Je, wachezaji wa Misri nao watapewa corona?

AFCON Nusu fainali - Misri vs Cameroon: Je, wachezaji wa Misri nao watapewa corona?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Ikiwa leo ni nusu fainali ya Afcon kati ya Wenyeji Cameroon dhidi ya Misri, tayari fitna za Etoo na kundi lake zishaanza kazi kwa kufungiwa kwa kocha msaidizi wa Misri, kwa kinachodaiwa vurugu kwenye mechi ya robo fainali dhidi ya Morocco.

Swali langu ni hili: Je, wachezaji wa Misri nao watapewa ugonjwa wa Corona kama walivyopewa wachezaji wa Comoro?
 
Hizi Arab Countries haziwezi kulalamikia Gamesmanship, hilo kwao ni second nature they have been practicing it since begging of time....

Ila Cameroon wamejiabisha Timu iliyotutua kidedea historically katika world cup, Olympic n.k. haifai kujiingiza kwenye huu upuuzi...
 
Kwamba Egypt wao hawajawahi kufanya fitna dhidi ya wengine? Hata nabii Musa anawajua. Yule shemeji yao Issa Hayatou amefanya mangapi kuwabeba na vilabu vyao? Cameroon ikifanya hivyo itakuwa poa sana.
 
Cameroon anapita, Afrika fitna hazikosekani...
 
Back
Top Bottom