Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ohoooo!!!Salah kashapewa Corona.
Cameroon wamejiabisha sana..jana mazoezi ya Misri eti wakatuma drone..yaani ni wasenge sana.
Leo hawatoki kudadeki !Cameroon wamejiabisha sana..jana mazoezi ya Misri eti wakatuma drone..yaani ni wasenge sana.
Upepo wa Leo siuelewi nahisi kama vile misri anakufa vile.
Naam Naam ni hakika Misri anakufa.
Naam Misri hatoki safari yake inaishia hapa
Cameroon anashinda Kwa clean sheet.!!
Sawa mkuu muda utaongeaCameroon anakufa mapema, labda waendeleze michongo yao ya kuwabandika corona hapo sawa
aah wapiNaombea wenyeji wagongwe goli 3 zinawatosha
Kwahiyo nibet misri siyo? [emoji848]Cameroon leo wanamuhaho.