Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii inaitwa ramli ya soka...Congo ashinde ili aongoze kundi sisi tutajuana naye mbeleni, Ethiopia anabaki na point moja tutajuana naye kwake. Sisi tuelekeze macho yetu kwenye mechi na Guinea.
Sawa mkuu nasubiri jibu.Ngoja nicheki
Hakuna kiingilio?Yah hata ya Burundi na Senegal iko Mkapa muda huu
Dstv!?Game on
Uganda Vs Congo
Mtu yeyote anaingia au?Hakuna Kiingilio mkuu
Mtu yeyote anaingia?Ni bure
Hamna ni unanyooka unachagua seat unakaaHakuna kiingilio?
Ila Burundi Wana team aisee Senegal wameshinda kwa tabu sanaHii game ya Senegal, ningejua.
Singeikosa