Afcon Qualification 2025: Ethiopia Vs DR Congo | Benjamin Mkapa Stadium | 09.09.2024

Screenshot_20240909-213010~2.png
 
Ila ule uwanja ni mbaya sana na huenda hata game ya Yanga ikahamishwa isipigwe pale caf wako serious sana kwenye suala la viwanja nadhani game italetwa Nambole uganda
Hakuna cha kuhamishwa mechi wala nini, CAF walishauruhusu kutumiwa kwenye mechi yao dhidi ya Villa. Ingekuwa CAF wameukataa ni mapema tu venue ingeshajulikana kuwa ni sehemu tofauti. Mechi ni wiki hii na swala la uwanja huwa taarifa hutolewa wiki moja kabla
 
Hivi Mbona Timu ya Taifa wamekuja Dar?
 
Acha uongo wewe
Uongo upi game imepigwa jioni na kuisha Moja bila
Hakuna cha kuhamishwa mechi wala nini, CAF walishauruhusu kutumiwa kwenye mechi yao dhidi ya Villa. Ingekuwa CAF wameukataa ni mapema tu venue ingeshajulikana kuwa ni sehemu tofauti. Mechi ni wiki hii na swala la uwanja huwa taarifa hutolewa wiki moja kabla
Kwa Nini team ya taifa inatumia uwanja wa Benjamin Mkapa!?
 
Back
Top Bottom