Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Ghana hatuko nao kundi moja,by the way taifa tumepiga nao matokeo unayakumbuka? acha wivu wewe mjaluo.Jombaa acha kuingizwa mkenge na huyu Jitegemee, Nani mkenya?? Hawa cherengeti hawana uwezo WA kumfunga Ghana acheni kujilisha upepo!
Tembea mbele....tupo kispot hapa...Mna Bahati sana nyie, mimi siyo moderator wa JF na ssihusiki na TCRA wala Wizara ya habari na michezo. Mngenitambua na lugha zenu hizi zisizo na staha!
Wanavipaji sana sema wana utoto mwingi,Mali nao wazembe wangetufunga 3 kwa Bashite.Halafu refaree alikuwa fair mno kwa Sengereti boys.Watoto walinibia sanaa utafikiri wanacheza cha ndimu.Mna Bahati sana nyie, mimi siyo moderator wa JF na ssihusiki na TCRA wala Wizara ya habari na michezo. Mngenitambua na lugha zenu hizi zisizo na staha!
Mpuuzi tu wewe🙁 Acha kuleta mambo ya siasa yasiokuwa na tija. Wewe utakuwa umelaaniwaWanavipaji sana sema wana utoto mwingi,Mali nao wazembe wangetufunga 3 kwa Bashite.Halafu refaree alikuwa fair mno kwa Sengereti boys.Watoto walinibia sanaa utafikiri wanacheza cha ndimu.
Mpuuzi tu wewe🙁 Acha kuleta mambo ya siasa yasiokuwa na tija. Wewe utakuwa umelaaniwa
Ww ni msrnge tuuu,unaingiziwa nyuma kitu chenye ncha kali,kuna siasa gani hapo? K mkubwa wewe ndo mana unajiita jina la kisengesenge,Mpuuzi tu wewe🙁 Acha kuleta mambo ya siasa yasiokuwa na tija. Wewe utakuwa umelaaniwa
Bora ulielimishe hilo dabwada hapo juu eti linajiita kiduku starlet.Bashite ni neno rasmi lenye maana ya Sifuri. Take it or leave it.
Mwenyeji Bashite kwa 4Dk 44 ... Gabon 0--Guinea 4
Hakuna mpira wanaoucheza,wanafanya utoto tuu,rafu za kijinga na pasi zisokuwa na maana.Mali wazembe wangetupiga 3 kwa Bashitevijana komaeni mpate timu mbele huko msije thubutu kuhangaika na timu za wapiga dili simba na yanga mtakuwa masikini tuu
Kweli kabisa Serengeti boys hakuna cha maana walichocheza... Hata shoot la kulenga goli sikuona.....Hakuna mpira wanaoucheza,wanafanya utoto tuu,rafu za kijinga na pasi zisokuwa na maana.Mali wazembe wangetupiga 3 kwa Bashite
Nilitamani niingie kwenye tv niwachape makofi.Kweli kabisa Serengeti boys hakuna cha maana walichocheza... Hata shoot la kulenga goli sikuona.....
Achen lawama walifuata maelekezo ya kocha ..na tungejaribu kushambulia Jana tano zingetuhusuKweli kabisa Serengeti boys hakuna cha maana walichocheza... Hata shoot la kulenga goli sikuona.....
Anajiamini mkuu alisave mbili za waziiIla goal keeper ni mzuri sanaa