AFCON (u17)-2017 Gabon: Serengeti boys special thread

AFCON (u17)-2017 Gabon: Serengeti boys special thread

Jombaa acha kuingizwa mkenge na huyu Jitegemee, Nani mkenya?? Hawa cherengeti hawana uwezo WA kumfunga Ghana acheni kujilisha upepo!
Ghana hatuko nao kundi moja,by the way taifa tumepiga nao matokeo unayakumbuka? acha wivu wewe mjaluo.
 
Mna Bahati sana nyie, mimi siyo moderator wa JF na ssihusiki na TCRA wala Wizara ya habari na michezo. Mngenitambua na lugha zenu hizi zisizo na staha!
Wanavipaji sana sema wana utoto mwingi,Mali nao wazembe wangetufunga 3 kwa Bashite.Halafu refaree alikuwa fair mno kwa Sengereti boys.Watoto walinibia sanaa utafikiri wanacheza cha ndimu.
 
Wanavipaji sana sema wana utoto mwingi,Mali nao wazembe wangetufunga 3 kwa Bashite.Halafu refaree alikuwa fair mno kwa Sengereti boys.Watoto walinibia sanaa utafikiri wanacheza cha ndimu.
Mpuuzi tu wewe🙁 Acha kuleta mambo ya siasa yasiokuwa na tija. Wewe utakuwa umelaaniwa
 
Afadhali wametumzisha kidogo kuchagua timu za wenzetu hatimaye tumekuwa na chetu.
 
vijana komaeni mpate timu mbele huko msije thubutu kuhangaika na timu za wapiga dili simba na yanga mtakuwa masikini tuu
Hakuna mpira wanaoucheza,wanafanya utoto tuu,rafu za kijinga na pasi zisokuwa na maana.Mali wazembe wangetupiga 3 kwa Bashite
 
Safi sana Serengeti Boys, solid performance licha ya kuzidiwa lkn mliweza kuhimili vishindo. Na huu ndio ushindani, kwamba unaweza kuingia kwenye mechi ukakuta mechi ni ngumu sana, lakni unakomaa nao na kujipanga upya kwa mechi zijazo
 
Matokeo ya mechi za leo:

Ghana 5 - 0 Gabon.

Cameroon 1 - 1 Guine.

Kwa matokeo haya, Ghana amesha fuzu nusu fainali..
 
Kila la heri vijana wetu hiyo Kesho. Watanzania tuko pamoja na ninyi "spirituality ". Tutashinda. Amen
 
Back
Top Bottom