Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Ghana hatuko nao kundi moja,by the way taifa tumepiga nao matokeo unayakumbuka? acha wivu wewe mjaluo.Jombaa acha kuingizwa mkenge na huyu Jitegemee, Nani mkenya?? Hawa cherengeti hawana uwezo WA kumfunga Ghana acheni kujilisha upepo!