TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Matokeo ya mechi za leo:
Ghana 5 - 0 Gabon.
Cameroon 1 - 1 Guine.
Kwa matokeo haya, Ghana amesha fuzu nusu fainali..
Ghana wapo vizuri saana napenda uchezaji waoMatokeo ya mechi za leo:
Ghana 5 - 0 Gabon.
Cameroon 1 - 1 Guine.
Kwa matokeo haya, Ghana amesha fuzu nusu fainali..
Saa 11 na nusu jioni ZBC 2 au UTV kwenye azam decorder.Leo game ya Serengeti sangapi?
Hawa Korea kaskazini wazee wa kujideffendI hope Leo watatuwakilisha vizuri
Kama unaona huwezi kufunga ni bora na ukazuia kufungwa je umefikiri vema kwa maoni yako mkuu?Hawa Korea kaskazini wazee wa kujideffend
Tan v Ang saa kumi na moja na robo banayani saa tisa mchana huu
NIG V MLI saa mbili na robo ucku
Kama mtu hujui si ukae kimya? Mara saa tisa mara saa 11 mara saa mbili usiku tushike ipi