AFCON (u17)-2017 Gabon: Serengeti boys special thread

AFCON (u17)-2017 Gabon: Serengeti boys special thread

Vile vitoto vya Ghana vinakimbiza balaa!tukikutana navyo lazima tuvishughulikie kwa kuvivunga magori ma nne kipindi cha kwanza vichanganyikiwe kabisa
Matokeo ya mechi za leo:

Ghana 5 - 0 Gabon.

Cameroon 1 - 1 Guine.

Kwa matokeo haya, Ghana amesha fuzu nusu fainali..
 
Hivi game la serengeti yetu leo saa ngapi lituliwaze
 
Guys sio saa 9 na nusu alasiri ambayo ni sawa na saa 11 na nusu jioni kwa saa za gabon? au nimemunukuu vibaya Shaffii Dauda
 
Kama mtu hujui si ukae kimya? Mara saa tisa mara saa 11 mara saa mbili usiku tushike ipi
 
Kwa mujibu wa King'amuzi cha Azam kupitia
channel namba 118 ZBC 2
20170518_154632.jpg

Kama mtu hujui si ukae kimya? Mara saa tisa mara saa 11 mara saa mbili usiku tushike ipi
 
Back
Top Bottom