AFCON (u17)-2017 Gabon: Serengeti boys special thread

AFCON (u17)-2017 Gabon: Serengeti boys special thread

vijana komaeni mpate timu mbele huko msije thubutu kuhangaika na timu za wapiga dili simba na yanga mtakuwa masikini tuu
 
Kama ninavyowaona Guinea,serengeti wajipange maana si kwa kupiga watu 5 kipindi cha kwanza.
 
Michuano imeanza rasmi leo kwa mechi ya ufunguzi kati ya wenyeji Gabon Vs Guinea Matokea ni Gabon 1-Guinea 5
--------
Mechi inayo endelea sasa ni Cameroon Vs Ghana.ambapo mpaka muda huu kipindi cha kwanza Wadogo zake Gyan A. wanaongoza kwa bao 3 bila.

Asee hawa wenzetu wa West wako vizuri sana ndo mana wanafanya vizuri kwenye soka yani kwa mpira wanaocheza hawa watoto hata Taifa stars wanapigwa bao nyingi tu.

Tuwaombee serengeti boys waendane na kasi ya wenzao.
 
hawa watoto wa Ghana wana mpira mkubwa sana kudadeki yani miaka mi 4 ijayo watakua hatari sana tena sana.
 
Nasikia captaiin wa Serengeti boys ambaye ni tegemeo ameumia hatocheza hata game moja.
 
Nimeona wa ghana wamewafunga Cameroon magolii mazurii sanaa.
Serengeti ndo wakati wao wakutufanya tuamini tuliyoyaona mechi zao za kwanza.MUNGU AWABARIKI SANA NATAMANI ANGALAU 5 WAITWE KWENYE CLUB KUBWA
 
Tunapanda porojo, tunavuna porojo
Mkuu serikali inaenda kwa matukio yani hawa vijana waiitiwa wali kwa M/ Rais badala kuitiwa wataalamu wa soko wakubwa duniani kuwapa motivation ya mpira,wewe unamwambia kijana akipata nafasi ya kucheza timu kubwa asisuke nywelee mara sijui nn seriously! yan kama vile tayari kashapata hiyo team.kiukweli tukiacha siasa kwenye mpira tutakuwa mbali sanaa nchi inawatu zaidi ya mil55 lakini hapo Congo kila siku mabomu wanatuzidi mpira,yani viongozi wachache wanatufanya kichwa cha mwendawazimu.
 
Hii nchi haina viongozi wazalendo kabisa
 
Serikali yetu haipi kipaombele michezo yyt nchin ndo maana kila cku ss ni wamoja tu watanzani tunapenda michezo ila hatuna micngi wa kujenga upendo huu, kila la kheri kwa Serengeti boys leo Mungu ibariki timu yetu itupatie kile tulichokua na kiu nacho.
 
Back
Top Bottom