Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikiwezekana hata 7 waitweNimeona wa ghana wamewafunga Cameroon magolii mazurii sanaa.
Serengeti ndo wakati wao wakutufanya tuamini tuliyoyaona mechi zao za kwanza.MUNGU AWABARIKI SANA NATAMANI ANGALAU 5 WAITWE KWENYE CLUB KUBWA
Yeah mkuu inawezekana khabisaaIkiwezekana hata 7 waitwe
Tuwaunge mkono hata kuwatakia heri badala ya kuwalaumu wakishindwa.Yeah mkuu inawezekana khabisaa
Tunalaumu sanaaa kuliko kuboresha na viongizi wetu wa mpira ni wanasiasaTuwaunge mkono hata kuwatakia heri badala ya kuwalaumu wakishindwa.
Tuna tabia ya kutaka kuvuna tusichopanda
Tunapanda porojo, tunavuna porojoTunalaumu sanaaa kuliko kuboresha na viongizi wetu wa mpira ni wanasiasa
Mkuu serikali inaenda kwa matukio yani hawa vijana waiitiwa wali kwa M/ Rais badala kuitiwa wataalamu wa soko wakubwa duniani kuwapa motivation ya mpira,wewe unamwambia kijana akipata nafasi ya kucheza timu kubwa asisuke nywelee mara sijui nn seriously! yan kama vile tayari kashapata hiyo team.kiukweli tukiacha siasa kwenye mpira tutakuwa mbali sanaa nchi inawatu zaidi ya mil55 lakini hapo Congo kila siku mabomu wanatuzidi mpira,yani viongozi wachache wanatufanya kichwa cha mwendawazimu.Tunapanda porojo, tunavuna porojo
Hii nchi haina viongozi wazalendo kabisaMkuu serikali inaenda kwa matukio yani hawa vijana waiitiwa wali kwa M/ Rais badala kuitiwa wataalamu wa soko wakubwa duniani kuwapa motivation ya mpira,wewe unamwambia kijana akipata nafasi ya kucheza timu kubwa asisuke nywelee mara sijui nn seriously! yan kama vile tayari kashapata hiyo team.kiukweli tukiacha siasa kwenye mpira tutakuwa mbali sanaa nchi inawatu zaidi ya mil55 lakini hapo Congo kila siku mabomu wanatuzidi mpira,yani viongozi wachache wanatufanya kichwa cha mwendawazimu.
Wachangie pia kuandika tuu hapa haitoshiTuwaunge mkono hata kuwatakia heri badala ya kuwalaumu wakishindwa.
Tuna tabia ya kutaka kuvuna tusichopanda