OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,339
Vipi Technical pattern ya Serengeti boys? Ukianzia Defence mid field na attacking force?Mpira umeanza dakika ya saba 0-0(bilabila)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi Technical pattern ya Serengeti boys? Ukianzia Defence mid field na attacking force?Mpira umeanza dakika ya saba 0-0(bilabila)
Serengeti leo wamepanik flan hiv wanacheza kama kaunta ila wanapiga viatu balaa itatucostVipi Technical pattern ya Serengeti boys? Ukianzia Defence mid field na attacking force?
bado kisoka vipi? vijana hawaoneshi matumaini?sisi bado kisoka
Tumepaki bus,viungo wetu wanashindwa kabisa kupeleka mipira mbele.Mpira unachezwa upande wetu Mali wangekuwa wazuri wangekuwa wametufungabado kisoka vipi? vijana hawaoneshi matumaini?
Waangalie wasilimwe kadi nyekunduSerengeti leo wamepanik flan hiv wanacheza kama kaunta ila wanapiga viatu balaa itatucost
Refa katurumia tuna njano 2tuu...ila bado hatujaruhusu kamba ni half timeWaangalie wasilimwe kadi nyekundu
Thanks for this mkuukama una una mobdro apk cheki na being in sports 8 wako live
Kasi imekua kubwa vijana wanapga kiatu tuuTumepaki bus,viungo wetu wanashindwa kabisa kupeleka mipira mbele.Mpira unachezwa upande wetu Mali wangekuwa wazuri wangekuwa wametufunga
Unasemaje wewe?kama una una mobdro apk cheki na being in sports 8 wako live