AFCON (u17)-2017 Gabon: Serengeti boys special thread

AFCON (u17)-2017 Gabon: Serengeti boys special thread

Huyu kocha amewaaribu hawa watoto.... Hawachezi mpira kabisa, wapo kama wanaogopa kucheza
 
Naona kama Mali wanatuonea huruma...
 
Bado sijaona mipango yetu pia hizi back pass zilitaka kutugharimu kiungo bado hakijatulia. Ila hawa west Africa jamaa waweza kusema ni U100 maumbo yao (maskhara )
 
Professionals Vs Amateurs.

Halafu huu mfumo wa 4:1:4:1 sijawahi kuona before kwenye mashindano ya level hii,maelewano Kati yao imekuwa sifuri it seems Ni mgeni hata kwa wachezaji.

Vijana wako reluctant mno utasema lunch wamekula makande na togwa.
 
Back
Top Bottom